Pages

Wafanyakazi wa airtel wakutana pamoja katika futari

 wafanyakazi katika kitengo cha mawasilino cha Airtel wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kufuturu . kushoto ni mkurugenzi wa mawasiliano Beatrice Singano, akifatiwa na Afisa uhusiano Jane Matinde, Meneja huduma kwa jamii , Hawa Bayumi pamoja na Afisa uhusiano na matukio, Dangio Kaniki
 wafanyakazi wa Airtel wakipata futari
Sheh hamim shareji maarufu kipoozeo sheikh hilal kipoozeo akitoa mawaidha kwa walioshirikia futari iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airte

3 comments:

  1. Anonymous3:02 PM

    Ni mzuri kusherekea kama watu wa company moja ya Airtel. Regards, Peter Oluoch, http://vc.uonbi.ac.ke

    ReplyDelete
  2. Thanks aitel for your appreciation of the local communities

    ReplyDelete
  3. A way to promote one-ness amongst ourselves. also, a humbling experience to anyone who doesnt value family..

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)