Meneja Masoko wa Bia laini Afrika Mashariki, Amou Majok (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wasanii wa kundi la Navy Kenzo juzi jijini Dar, wakati Meneja huyo akitangaza kuhusu wasanii wa kundi hilo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai. Wa kwanza kulia ni Meneja Msaidizi wa Chapa ya Bia laini, Isaria Kilewo
|
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)