TRA watoa semina ya masuala ya kodi kwa wanahabari Tanzania
- Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo akizungumza kwenye Semina ya masuala ya kodi kwa wanahabari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Kodi Mkuu wa TRA, Sydney Mkamba na Anjela Michael (kulia) Mwenyekiti wa Semina hiyo.
- Ofisa Mkuu wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Gabriel Mwangosi (wa kwanza kushoto) akiwasilisha mada katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

- Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.

- Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikiendelea.
- Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.
- Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)