Pages

New Alert: Wanafunzi wapatao 20 wahofiwa kupoteza maisha kwenye ajali Karatu

 Baadhi ya miili ya wanafunzi waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyotokea muda mfupi huko Karatu
 Wasamalia wema wakiendelea na zoezi la uokoaji 
Gari aina ya costa likiwa limeingia kwenye bonde na kupelekea kupoteza maisha ya baadhi ya wanafunzi 
Wanafunzi wapatao 20 wanahofia kupoteza maisha katika ajali iliyotokea muda mfupi huko karatu. 

Basi la Shule ya Lucky Vincent limepata ajali ya kutumbukia kwenye korongo rhotia na kusababisha vifo kadhaa kwa wanafunzi wapatao 22 huku wanafunzi wa darasa la saba wapatao 15 huku na walimu wapatao 4. Wanafunzi hao walikuwa wakielekea kwenye mtihani wa ujirani wa darasa la saba huko Karatu

Update: Habar za hivi punde kutoka Hospital ya Lutheran Karatu maiti zilizopokelewa hapo hospitali ni maiti 32 miongoni mwao waalimu ni 2 dereva 1 na wanafunzi 29 ambapo wanafunzi wa kiume 11 na wasichana 18 nakufanya jumla hiyo ya maiti 32

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)