Pages

WANAFUNZI WA DARASA LA TATU WA SHULE YA MSINGI YA AGA KHAN WATEMBELEA AIRTEL

Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Airtel Tanzania, Patrick Foya akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan, waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu  ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.

Afisa Huduma kwa Wateja wa Airtel Tanzania, Stephen Makongoro akifafanua jambo Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini
Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Franky Filman akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan  wakiangalia bidhaa mbalimbali katika duka la kisasa la Airtel lilipo makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam
Maafisa wa Airtel wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)