Mwezeshaji wa Mafunzo ya Uraghibishi Shule ya Sekondari Makumbusho, Janet Mawinza (kulia) akitoa mafunzo ya kijinsia kwa Club ya Jinsia ya Wanafunzi wa Sekondari ya Makumbusho yaliyotolewa na Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) katika shule hiyo Mwezeshaji wa Mafunzo ya Uraghibishi Shule ya Sekondari Makumbusho, Janet Mawinza (kulia) akisisitiza jambo katika mafunzo ya kijinsia kwa Club ya Jinsia ya Wanafunzi wa Sekondari ya Makumbusho yaliyotolewa na Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) katika shule hiyo. Mwalimu Mlezi wa Kituo cha Shule ya Msingi Mchangani, Goodluck Busago (kulia) akiwasilisha mada katika mafunzo ya Mafunzo ya Siku Tatu ya Masuala ya Kijinsia kwa Club ya Jinsia ya Wanafunzi wa Sekondari ya Makumbusho yaliyotolewa na Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) katika shule hiyo. Mmoja ya wanafunzi wanaoshiriki mafunzo ya kijinsia kwa Club ya Jinsia ya Wanafunzi wa Sekondari ya Makumbusho akichangia mada katika mafunzo hayo. Mmoja ya wanafunzi (kushoto) wanaoshiriki mafunzo ya kijinsia kwa Club ya Jinsia ya Wanafunzi wa Sekondari ya Makumbusho akichangia mada katika mafunzo hayo. Mmoja ya wanafunzi (kushoto) wanaoshiriki mafunzo ya kijinsia kwa Club ya Jinsia ya Wanafunzi wa Sekondari ya Makumbusho akichangia mada katika mafunzo hayo. Mmoja wa wageni waalikwa kutoka katika vituo vya taarifa na maarifa akichangia jambo kwa washiriki mafunzo ya kijinsia kwa Club ya Jinsia ya Wanafunzi wa Sekondari ya Makumbusho. Picha ya pamoja kati ya wawezeshaji, wageni waalikwa na wanafunzi wanaoshiriki mafunzo ya kijinsia kwa Club ya Jinsia ya Wanafunzi wa Sekondari ya Makumbusho.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)