Pages

Mh Tundu Lisu achaguliwa kuwa rais wa Tanganyika Law Society (TLS)

Wakili msomi Mhe.Tundu Lissu ameshinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa, sawa na ushindi wa 84% ya kura zote. Huku Godwin Ngilimi akiwa Makamu wa Rais

Katika mawasiliano na Lissu amedhibitisha ushindi huo na kusema kwa kifupi "Nimeshinda Urais TLS, ushindi huu uende kwa watanzania wote, na kwa wote mlioonewa ambao mpo mahabusu na magerezani"

Pamoja na Lisu kushinda urais hawa pia ni viongozi wengine waliochaguliwa leo
List of Council Members.

1. Jeremiah Motebesya
2. Gida Lambaji
3. Hussein Mtembwa
4. Aisha Sinda
5. Steven Axweso
6. David Shilatu
7. Daniel Bushele.

HT; Magai

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)