Katapila likibomoa majengo ya Baa ya Pentagon katika oparesheni ya bomoa bomoa nyumba zote zilizojengwa katika hifadhi ya Reli ya Kati eneo la Mivinjeni, Kurasini Dar es Salaam.
Makontena ya biashara yakiwa yamefumuliwa na katapila
Baa ya Pentagoni ikiwa imebomolewa
Katapila likiendelea na kazi ya bomoa bomoa
Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa na vibanda vya biashara pamoja na wananchi wakishuhudia ubomoaji huyo
Askari wakilinda doria wakati wa ubomoaji
Wataalamu wakipima mita 20 kutoka kwenye reli ili nyumba na mabanda yaliyo ndani ya hifadhi ya reli zibomlewe kupisha ujenzi wa reli ya kisasa.
PICH ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)