Usiku wa kuamkia mwaka mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila walifanya RECEPTION ya Harusi yao kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, TX. Pata picha za tukio hilo hapa chini.
Newly Wed Mr. Wasia akiwa na Mkewe Bi. Laila na kijana wao Zion |
Bw. Wasia Maya na Bi. Laila Martin |
Lovely couple |
Zion akiwa na Baba na Mama |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)