Pages

VIDEO – TUMEKUSOGEZEA MKASA MZIMA WA KIJANA ANAYESHIKILIWA NA JESHI LA POLISI RUVUMA KWA KUSADIKIWA KUMUUA BABA YAKE MZAZI.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Zubery Mwombeji.

......................

Kijana anayejulikana kwa jiana la Patrick Malindisa ( 29 ) 
mkazi wa Namanyigu kata ya mshangano Manispaa ya Songea mkoani 
Ruvuma,anashikiliwa na jeshi kwa kusadikiwa kumuua baba yake mzazi 
anitwaye Atanasi Malindisa. Mkasa Mzima huu hapa. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)