Pages

HakiElimu yazinduwa mpango mkakati wa miaka mitano 2017-2021


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Hakielimu, Martha Qorro (kushoto) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano wa Hakielimu jijini Dar es Salaam. Kulia akishuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage.


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Hakielimu, Martha Qorro (kushoto) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano wa Hakielimu jijini Dar es Salaam. Kulia akishuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa Hakielimu.

Mmoja wa waanzilishi wa taasisi ya HakiElimu, Japhet Makongo akizungumza na wageni waalikwa kabla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu.

Dk. Jovita Katabalo akiwasilisha mada katika hafla ya uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu.

Baadhi ya wanafunzi walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu wakifuatilia matukio mbalimbali katika hafla hiyo.

Kutoka kushoto (2) ni sehemu ya wanachama waanzilishi wa Taasisi ya HakiElimu wakiwa na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu.

Sehemu ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi ya Hakielimu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage (kulia) akijadiliana jambo na mmoja wa wageni waalikwa katika uzinduzi huo. 

Sehemu ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo.

Baadhi ya wanachama waanzilishi wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika uzinduzi huo.

Baadhi ya wafanyakazi wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano (2017-2021) wa taasisi hiyo.

Sehemu ya wageni waalikwa katika uzinduzi huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage (wa kwanza kushoto) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa na viongozi mbalimbali katika hafla ya uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)