Pages

Yaliyojiri hafla ya Wafanyakazi wanawake TBL Group ya kufunga mwaka

 Meneja Masoko Msaidizi wa Jubilee Insurance Elieth Kileo,  a akitoa elimu ya bima wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ilala jijini Dar es Salaam
 Mmoja  wa wafanyakazi wa TBL Group akipokea  kipaza sauti kwa ajili ya kupata ufafanuzi wa masuala yaliyoongelewa na mmoja wa watoa mada.
 Mtaalamu wa masuala ya  urembo kutoka Abeer Naturals,Abigail Ambweni akitoa mada ya utunzaji wa nywele
 Mtaalamu wa masuala ya  urembo kutoka Abeer Naturals,Abigail Ambweni,akionyesha jinsi ya kutengeneza nywele ili kuonekana maridadi.
 Wafanyakazi wakimsikiliza mtoa mada,Sadaka Gandi,kutoka Lifestyle  Consultant
wafanyakazi wakifurahia matukio mbalimbali kwenye sherehe hiyo
 
Wafanyakazi wanawake wa kampuni ya TBL Group kupitia jukwaa lao la TBL Women’s Forum wamefanya hafla ya kuaga mwaka kwa mtindo wa aina yake ambapo wametumia fursa hiyo kuelimishana masuala mbalimbali kwenye mazingira yanayowazunguka ikiwemo kubadilishana uzoefu wa kazi na Maisha.
 
Pia walipata fursa ya kuwasikiliza watoa mada mbalimbali kutoka nje ya kampuni ambao walikaribishwa ambao waliongelea masuala ya afya,utunzaji wa nywele,ikimwemo umuhimu wa bima.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)