Pages

News Alert:Maxence Melo wa Jamii Forum apata dhamana leo


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jamii Media ambao ni wamiliki wa forum maarufu nchini na nje ya Nchi ya Jamii Forums na Fikra Pevu, Maxence Melo amepandishwa Kizimbani leo ikiwa ni hatua mojawapo ya kushughulikia kupata dhamana ya kosa lake la tatu alilosomewa ijumaa iliyopita katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu

Ndugu Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu kwa makosa yake anayoshtakiwa likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa na Serikali.

Kesi ya Maxence itatajwa tena tarehe 29 December 2016.


Habari kamili itakujia muda si mrefu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)