Pages

Maonyesho ya bidhaa ya vyakula kutoka India yafana Jijini Dar es salaam

Balozi wa India Sandeep Arya akiongea na wadau wa biashara wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za vyakula kutoka India katika hafla iliyofanyika Hotel ya Golden Tulip, Dar es Salaam mapema jana. 

Balozi wa India Sandeep Arya akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za vyakula kutoka India uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam jana.  

Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini mkutano huo wa uzinduzi wa maonesho hayo.

Balozi wa India Sandeep Arya akipata maelezo toka kwa mmoja wa wafanyabiashara wa bidhaa za vyakula toka india mara baada ya  hafla ya uzinduzi wa maonesho ya bidhaa vya vyakula kutoka India uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam jana.  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)