Jinsi ya kupiga kura kupitia WeChat kwenye tuzo za AMVCA's 2017.
Kupiga kura kupitia WeChat, unahitaji kuingia kwenye mtandao wa WeChat kupitia simu yako ya mkononi.
Kupiga kura WeChat ni bure ila utalipia gharama za intaneti/bando turn.
Kama huna WeChat ktk simu yako ya mkononi,download. Alafu add Africamagictv kama contact.
Kutoka ID africamagictv, chagua VOTE(PIGA KURA). Kama namba yako haijatambuliwa na africamagictv kwenye WeChat,utaambiwa uingize namba yako ya Simu. Andika namba yako ya simu kwa namba za kimataifa. Mfano +2711 222 333 kisha utapokea ujumbe mfupi wenye neno la siri, andika neno hilo WeChat na utakuwa ushapiga kura.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)