Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza na makundi ya vijana wajasiriamali na wasanii wa Filamu jijini Arusha.Amesema fani hiyo ni muhimu katika kuhamasisha maendeleo na kujenga mshikamano. |
Mkuu wa Idara ya maendeleo ya jamii Jiji la Arusha,Tajiel Mahega akizungumza katika mkutano huo. |
Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji na Filamu mkoa wa Arusha(TDFAA)Isack Chalo. |
Burudani ikiendelea kutolewa na kikundi cha Sarakasi. |
Burudani ikiendelea kutolewa na kikundi cha Sarakasi. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)