Pages

TAFRIJA MCHAPALO WA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA SERENGETI PREMIUM LAGER YAFANA

Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie akitoa hotuba ya  ufunguzi kwa wageni waliohudhuria tafrija mchapalo ya maadhimisho ya miaka 20  tangu kuanzishwa kwa bia ya Serengeti Premium Lager (SPL)  mwaka 1996.Pia kulizinduliwa chapa mpya ya Bia hiyo  .hafla hiyo ilifanyika siku ya alhamisi  katikaHOTELI ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam
Mgeni Rasmi Waziri Wa Viwanda, Biashara  Na Uwekezaji, Mh. Charles
Mwijage (Mb) akitoa hotuba kwa wageni waliohudhuria hafla ya kutimiza miaka 20 ya bia ya Serengeti premium lager .Hafla ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar Es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya SBL Nehemiah Mchechu akitoa hotuba yake katika hafla ya kutimiza miaka 20 ya Bia ya Serengeti Premium Lager na pia kuzinduliwa kwa muonekano mupyaa wa bia hiyo mapema siku ya alhamisi.

Wageni waalikwa katika hafla hiyo wakifurahia jambo

Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie (katikati) akijadiliana jambo na Mkurungezi wa Mawasiliano wa SBL John Wanyacha na Mkurungezi wa Masoko wa SBL Ceasar Mloka katka tafrija mchapalo ya kutimiza miaka 20 ya bia ya Serengeti Premium Lager 

Meneja Masoko wa SBL Anitha Msangi akitoa ufafanuzi wa safari ya bia ya serengeti premium lager toka ilipoanzishwa miaka 20 iliyopita ikiwa ni ubunifu wa mtanzania Winston Kagusa

Burudani maridadi ikiendelea wakati wa tafrija hiyo


Mgeni Rasmi Waziri Wa Viwanda, Biashara  Na Uwekezaji, Mh. Chrles Mwijage (Mb) (wa kwanza kushoto )akifurahia muonekano mpya wa bia ya Serengeti Premium Lager mara baada ya uzinduizi pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya SBL Nehemiah Mchechu (katikati ) na  Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie katika hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.

Baadh ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wakiifuatilia kwa makini uzinduizi wa muoenkano mupyaa wa Serengeti Premium Lager 

Wadau wakipozi katika picha ya chui ambayo ni nembo ya bia ya serengeti
Wadau wakifurahia muonekano mpya wa bia ya Serengeti Premium lager
Wageni waalikwa wakifurahia burudani iiliyotolewa katika hafla ya  maadhimisho ya miaka 20 ya Bia ya Serengeti na pia uzinduzi rasmi wa muoenekano mpya wa bia hiyo .Hafla hiyo iliyofanyika  katika Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)