Moja ya wimbo ulionigusa, Katika Nyimbo hii Kala Jeremiah ameimba kwa hisia na ameutendea haki wimbo kwasababu yaliyoimbwa kwenye mashairi yanaonyesha ni jinsi gani ambavyo tunatakiwa kuwapa msaada watu katika kutimiza ndoto zao hususani Watoto. Ebu jiulize leo hii wapo waliojitoa kwako ili utimize ndoto zako? Basi sikiliza wimbo huu halafu ujitafakari
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)