Pages

SHINDANO LA MISS ILALA 2016 LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Warembo wanao wania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo. Shindano hilo limezinduliwa sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya Miss Ilala tangu ianze mwaka 1996. 

 Warembo wanao wania taji 
la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa 
maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo.

 Warembo wanao wania taji 
la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika halfa 
maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo. Source: Father Kidevu Blog.
 Mwandaaji wa shindano la Miss Ilala 2016, Teddy Kitundu ambaye pia ni diwani wa viti Maalum Ilala, akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa shindano hilo Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia kulia ni Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania , Bossco Majaliwa (kulia) na Mkuu wa Itifaki wa Kamati hiyo, Albert Makoye. Miss Ilala inafanyika ikiwa ni mwaka wa 20 tangu lianze shindano hilo mwaka 1996.
 Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye akizungumza kwaniaba ya Kamati katika uzinduzi huo.
 Mmoja wa wadhamini akizungumza katika uzinduzi huo. 
 Mratibu wa shindano hilo la Miss Ilala 2016, Eric akizungumza
 Warembo waliowahi kushirikishindano la Miss Ilala wakifungua shampein katika uzinduzi huo.
 Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa akigonganisha glasi na warembo wanaowania taji la Miss Ilala 2016.
 Warembo wakigonganisha glasi na wadau wa urembo waliohudhuria hafla hiyo.
 Warembo wakigonganisha glasi na wadau wa urembo waliohudhuria hafla hiyo.
 Mdau akilamba unikoni na mlimbwende wa zamani wa Miss Tanzania
 Warembo wakijiselfisha wakati wa hafla hiyo
 Wadau wa urembo wakiwa katika hafla hiyo.
 Mwandishi wa habari za michezo na sanaa ya urembo, Michael Mauruce (kushoto)  akimsikiliza Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)