Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando (wa tatu kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (wa pili kulia) wakionesha ujumbe wa maadhimisho mara baada ya kuzindua hafla ya maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day'. Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki. Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando ambaye ni mgeni rasmi akizungumza na walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day', Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo akizungumza na walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day', Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki. Augustino Mbogela Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya NMB akizungumza na walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day', Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki. Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando ambaye ni mgeni rasmi akizungumza na walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day', Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki. Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando (mwenye gauni jeusi) ambaye ni mgeni rasmi katika shughuli hiyo akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa NMB kwenye maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day'. Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki. Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando akiagana na baadhi ya viongozi wa UWT na NMB mara baada ya kuzindua hafla hiyo ya 'Teachers Day'. Baadhi ya walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) jijini Dar es Salaam na maofisa wa NMB wakiwa katika maadhimisho ya siku ya walimu 'Teachers Day'. Benki ya NMB imewakutanisha walimu katika maadhimisho hayo na kuwapa semina ya masuala anuai ya kibenki.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)