Pages

News Alert:Wadhaniwao ni Majambazi 14 wakamatwa Vikindu, Polisi yapambana kiume


MKURANGA, PWANI: Mapigano makali yanaendelea hivi sasa kati ya Askari Polisi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi eneo la Vikindu.

Magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkuranga, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru zimefungwa kutokana na mapambano hayo.

Timu ya Mwananchi iliyo eneo la tukio imeshuhudia magari ya polisi (defenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.

Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkurang, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru zimefungwa kutokana na mapambano hayo.

=> Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. Kiongozi wa wahalifu wao ni Kanali wa Jeshi mstaafu.Chanzo Jamii Forums

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)