| Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleimani Jaffo akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kusimamia na kutumia mitambo na magari ya kisasa ya kukusanya Taka ngumu kwenye majiji na halmashauri zilizopo kwenye mpango wa kuendeleza miji kimkakati unaosimamiwa na Ofisi ya Rais kwa mkopo kutoka Benki ya Dunia,kushoto ni Mratibu wa Mradi huo,Mhandisi Davis Shemangale na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Arusha,Mrisho Gambo. |
![]() |
| Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya usimamizi miundombinu ya ukusanyaji Taka ngumu wakimsikiliza Naibu Waziri,Suleimani Jaffo. |
![]() |
| Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleimani Jaffo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari. |
![]() |
| Sehemu ya magari maalumu yatakayohusika kukusanya Taka ngumu kutoka mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha. Naibu Waziri Jaffo alitaka mitambo hiyo itumike kwa malengo yaliyokusudiwa na kufanyiwa matengenezo kila mara ili iwe endelevu na kuongeza kuwa serikali imeshaweka mikakati ya miji yote kuwa misafi. |






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)