Pages

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MZEE ALLY MTOPA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa (kushoto) ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza masuala mbali mbali ya kisiasa na ya kijamii na  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa ofisini kwake Ikulu  jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)