Pages

BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI LAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA MKAKATI WA KUPUNGUZA AJALI

Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(katikati), katika kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani.Wa kwanza mkono wa kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Mtendaji wa baraza ambae pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani , Mohamed Mpinga. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Henry Bantu, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani nchini ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ASP Deus Sokoni, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani, ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)