Mawakala wa mihamala ya fedha za mtandao jijini Mwanza kwa umakini wakisikiliza mafunzo juu ya mikopo hiyo ya mtando wa Airtel ambayo imekuja kama sehemu ya maboresho ya huduma na kuwarahisishia wananchi wa Tanzania linapokuja suala la mtaji. |
Msimamizi mkuu wa uelimishaji wa huduma ya Airtel Money Timiza, Rwebu Mutahaba akitia msisitizo zaidi katika semina kwa Mawakala wa mihamala ya fedha za mtandao jijini Mwanza juu ya mikopo hiyo ya mtando wa Airtel ambayo imekuja kama sehemu ya maboresho ya huduma na kuwarahisishia wananchi wa Tanzania linapokuja suala la mtaji. |
Mawakala toka viunga mbalimbali ndani ya jiji la Mwanza wamekusanyika hapa ndani ya ukumbi wa Gold Crest Hotel kwa nia ya kupata mafunzo. |
Somo limekolea na Airtel Money Timiza. |
Airtel Money Timiza ni mikopo nafuu isiyo na masharti magumu zaidi ya namba ya mteja ya mawasiliano na historia ya utumiaji wa huduma ya Airtel Money Timiza. |
"Ili mteja apate kukopeshwa kiwango kikubwa cha fedha, Airtel Money Timiza itatizama Je ni mteja anatumia vipi mahamisho na uchukuaji wa fedha kupitia Airtel Money yake...? Kadri mteja anavyotumia Airtel Money zaidi ndivyo anavyopata nafasi ya kukopeshwa zaidi nacho kiwango kikipanda...." Somo la semina likiendelea |
Washiriki kwa umakini na semina ya Airtel Money Timiza. |
'MUDA NI MALI' = Jinsi Airtel Money Timiza inavyokomboa muda huku ikimkuza na kumnyanyua mwananchi toka lindi la umasikini. |
David Wankuru ambaye ni Meneja wa Airtel Mkoa wa Mwanza akifafanua kilichofanyika ndani ya semina kwa mawakala, masharti na masuala yote juu ya Airtel Money Timiza. |
Ni sifa zipi zitampa mteja fursa ya kuweza kukopeshwa na Airtel Money Timiza? Joel Laizer ambaye ni Meneja wa Mauzo Airtel Mwanza anafunguka zaidi. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)