Pages

WIMBO MPYA WA INJILI KUTOKA KWA MWIMBAJI ELISHA WAUPENDO.

Bonyeza HAPA Kusikiliza na Kupakua Wimbo Mpya wa Mwimbaji wa Muziki wa Injili nchini Tanzania, Elisha Waupendo. Wimbo Unaitwa Umenipa Kibali. 

Pia waweza kuusikiliza ama kuupakua moja kwa moja hapa chini. Tafadhali sikiliza kwa umakini wimbo huo na utakuwa wa tofauti moyoni mwako.


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)