Pages

WASANII PAYUS NA MECRASS KUTOKA JIJINI MWANZA WAPOKELEWA VYEMA.

Hakika inapendeza pale unapoona kila siku wasanii wapya wanaibuka na kuonyesha uwezo mkubwa katika sanaa.
Kutoka Jijini Mwanza, vichwa viwili, Payusi na Mecrass ambao wanaunda kundi la "Payus & Mecrass" wameachiwa wimbo wao uitwayo Chausiku ambao kiukweli umepokelewa vyema na hakika unakonga nyoyo na masikio ya wapenzi wa muziki.

Kusikiliza Play Hapo chini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)