Pages

Msanii Diamond akabidhi msaada wa madawati 600 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam

Msanii wa muziki, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond amekabidhi madawati 600 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda
Ametoa madawati hayo ili kusaidia tatizo la uhaba wa madawati kwenye shule za Mkoa wa Dar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)