Madereva wa Kiwanda cha Bia TBL mkoani Mwanza wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Herbert Kubo kiwandani hapo jana.
Mkufunzi, Herbert Kubo akitoa elimu kwa madereva wa Kiwanda cha Bia TBL mkoani Mwanza katika mafunzo ya wafanyakazi hao yaliyofanyika kiwandani hapo jana.
Kampuni ya TBL Group katika mwendelezo wake wa kuzingatia usalama kazini imeandaa mafunzo kwa madereva wake wanaosambaza bidhaa zake yanayohusiana na udereva wa kujihami.Mafunzo hayo yatafanyika kwenye viwanda vyote vya kampuni na yanaendeshwa na mtaalamu kutoka kampuni ya CFAO Motors Expert Herbert Kubu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)