Pages

Inter Milan katika mipango ya kumsajili Yaya Toure


Image copyrightEPA
Inter Milan wana mipango ya kumsajili nyota wa Machester City Yaya Toure.
Raia huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 33, ana mwaka mmoja wa kuichezea Man City kabla ya kukamilisha mkataba wake.
Yaya Toure aliuzwa kwa Man City ambayo ilikuwa chini ya meneja wa sasa wa Inter Milan Roberto Mancini kwa kima cha dola milioni 24 na Pep Guardiola mwaka 2010 kutoka klabu ya Barcelona.
Hata hivyo taarifa zinasema kuwa huenda makubaliano yakaafikiwa au yakose kuafikiwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)