Pages

AFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO AIBUKA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA KITAIFA.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya shilingi milioni 3.5 kutoka kwa Rais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa mwaka kitaifa
kwenye siku ya Wafanyakazi Dunia, Mei mosi iliyoadhimishwa
 kitaifa mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)