Pages

Ushawahi kusikia Mvua ya Samaki? Basi imetokea nchini Thailand Juzi

 Maajabu ya Dunia... Kutoka Nchini Thailand juzi kumetokea maajabu ya aina yake baada ya Mvua ya Samaki kunyesha Nchini. Stori ya mvua ya samaki kunyesha nchini humo imechukua sura mpya baada ya wadau wengi katika mitandao ya kijamii kuandika kuwa "Wanasayansi mtalielezeaje hili tukio?" kwa maana wakitaka uhusiano wa kisayansi kati ya mvua na samaki.

Ieleweke kuwa Watu wamezoea kusikia mvua ya mawe na sio samaki........Endelea kukaa nasi na kuhabarika..


UNAHITAJI STORY ZAIDI?
 Tufollow katika Facebook Lukaza Blog, Insta:LukazaBlog, Twitter: Lukaza2010 na Youtube MultiLukaza Blog kwa kupata habari motomoto na latest kuhusu filamu, tv na muziki na mengineyo.


Kama imekukuna unaweza share na washikaji zako popote pale iwe Facebook, Twitter, Instagram na Hata Kwenye Whatsapp

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)