Pages

Mwili wa mtu wa pili aliyezama na gari leo ferry wapatikana

Waokoaji wakitoka na mwili wa marehemu ambaye ni mmoja kati ya waliozama na gari aina ya hiace mapema leo alfajiri sehemu ya ferry
Mwili huo umepatikana majira ya mchana na kutambuliwa kwa jina la  Nice Karagwe  huku zoezi la kuitoa gari likiendelea 
Mwili ukipelekwa kwenye gari la polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi
Gari lapolisi likiondoka na mwili wa mtu aliyefariki baada ya kuzama na gari aina ya Hiace leo alfajiri

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)