Pages

Mkurugenzi wa zamani wa TRA apandishwa kizimbani leo

 Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya (kati) sambamba na Waliokuwa Wafanyakazi wa Benki ya StanBic Tanzania, Sioi Sumari (kushoto) na Shose Sinare (kulia), wakiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakisubiri kusomewa mashtaka yanayowakabili, leo Jijini Dar es salaam.
Kesi ya washtakiwa hao imehairishwa na itasomwa tena April 8 mwaka huu.
 Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya (mbele) akipunga mara baada ya kuhairisha kesi iliyokuwa ikiwakabili.
Mstakiwa  aliyekuwa mfanyakazi wa Benki ya StanBic Tanzania, Shose Sinare akisindikizwa na polisi baada ya kufika katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo kuelekea kwenye gari. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)