Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayohusika na Viwanda,Biashara na Manzigira,Dk Dalaly Kafumu(kushoto) na Makamu wake,Vicky Kamata wakimsikiliza Meneja wa Mawasiliano wa kampuni ya Bia nchini(TBL)Emma Oriyo wakati wa ziara hiyo. katika ziara hiyo
Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki
Wabunge wakipata maelezo ya usindikaji kimea kutoka kwa Mkuu wa idara ya Ubora wa kiwanda hicho,Theotime Tengio(kulia) wakati wa ziara ya wabunge hao
Wabunge wakitembele maeneo mbalimbali ya kiwanda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)