Pages

WAFANYAKAZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF WATOA MSAADA HOSPITALI YA MWANANYAMALA

 Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (katikati)
akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali Caroline Hanne Van, Raia wa Denmark kwa niaba ya watoto wawili (kitandani) waliodaiwa kuokotwa jana maeneo ya Mbezi Beach na kufikishwa hospitalini hapo leo asubuhi, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo Machi 8, 2016. Kushoto ni Emel Kudahl Christensen na wa tatu (kulia aliyekaa) ni Emma Nikoline Wennberg, wauguzi wa kujitolea kutoka nchini Denmark. Picha na Mafoto Blog
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya Watoto wachanga/Njiti, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo

 Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali mzazi aliyejifungua mtoto wa Kiume, Hospitali ya Mwananyama, Joyce Lucas, mkazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya Kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo

 Meneja
wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (wa pili kulia) na
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Janet Ezekiel, wakiwaangalia watoto wawili waliodaiwa kuokotwa maeneo ya Mbezi Beach, waliofikishwa Hospitali ya Mwananyamala.
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
 Picha ya pozi ......
 Picha ya pozi na mtoto.....

 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakisubiri kuingia wodi ya wazazi wa upasuaji kugawa msaada wa vitu mbalimbali leo.
 Wafanyakazi hao wakipozi na baadhi ya vitu walivyoshusha kwenye magari yao kabla ya kuanza zoezi la kugawa.
 Wafanyakazi hao wakiendelea kushusha vitu hivyo kutoka kwenye magari...

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mfuko huo baada ya zoezi la kugawa vitu hivyo leo kwenye Hospitali ya Mwananyamala.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)