Pages

SSRA yakutana na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kujadili mabadiliko na maendeleo mbalimbali katika Sekta ya Hifadhi ya Jamii

Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe, akizungumza wakati akiufungua mkutano wa mamlaka hiyo na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana. 

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii  (SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha   Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam  jana.


Washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha  Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam  jana.


Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha  Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam  jana.


Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam  jana.


Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam  jana.


Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakifuatilia mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii, iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam  jana.


Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada hiyo wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam  jana.


Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa wao, wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam   jana.


Baadhi ya washiriki, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya   Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa  wao, wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam jana.


Baadhi ya washiriki, wakiteta jambo wakati wakimsikiliza Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Hifadhi ya  Jamii Tanzania, Mtazamo wa Waajiri na Mpango wa hifadhi kwa waajiriwa 


wao, wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam   jana.


Mkurugenzi wa Tafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi, akiwasilisha mada hiyo wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam    jana.

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe (mstari wa mbele katikati), aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa katika picha ya pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Carina Wangwe (mstari wa mbele katikati), aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)