Pages

Pope Francis ajiunga na Mtandao wa Instagram

Pope francis on instagram.png

Kiongozi mkuu wa kanisa la Katoliki, Pope Francis sasa yupo pia kwenye mtandao wa Instagram - Welcome to Instagram, Pope Francis!
Jumamosi ya jana tarehe 19 March 2016, Pope Francis alijiunga rasmi na mtandao unao kua kwa kasi zaidi wa Instagram... na anapatikana kwa jina la @franciscus.
Na punde tu baada ya kujiunga na mtandao huo wa instagram account yake ili weza kupata wafuasi zaidi ya 815,000 (Followers).
Hii ni ishara kuwa pepe anapendwa sana na niwigo mwingine pia kwa pope kuweza kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi kwa njia ya mtandao.
Pope Francis pia aliweka chapisho lake la kwanza kwenye mtandao huo ukiwa na ujumbe unaosema "Pray for me" akiwa na maana ya “Niombeeni" na ujumbe huu umewekwa kwa lugha takribani zaidi ya 8 ili kuwafikia watu wa lugha tofati tofauti.
Karibu Instagram Pope Francis

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)