Pages

Mkuu wa Wilaya Novatus Makunga afanya mkutano katika wilaya tatu

Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe.Novatus Makunga akisisitiza jambo alipokuwa anaongea katika mkutano maalumu wa ujirani mwema kwa kata,vijiji na vitongoji vinavyopakana katika wilaya za Moshi,Simanjiro na Hai.Walioshiriki ni pamoja na waheshimiwa madiwani,viongozi wa madhehebu wa dini,viongozi wa kimila,Watu maarufu,maofisa watendaji wa vijiji na wenyeviti wao pamoja na maofisa watendaji wa kata.
Tumesisitiza na kuweka mkakati wa pamoja katika kutokomeza vitendo vya ujambazi,kuhakikisha kila mtu anafanyakazi,utunzaji wa mazingira,utawala bora,uadilifu kwa viongozi na watendaji wa serikali,utatuzi wa migogoro,uhamasishaji wa kujiunga na mfumo wa afya ya jamii,uundaji wa vikundi vya ujasiriamali na usimamizi wa miradi ya uuma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)