Mchezaji Frank Peter wa Banc ABC (kulia), akijitahidi kumtoka Kambili John wa Ramada katika mashindano ya makampuni yaliyofanyika Uwanja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE), Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya Popular Sports and Entertainment Tanzania Ltd.
Hapa ni kazi tu uwanjani.
Kikosi kamili cha Timu ya Ramada.
Kikosi cha Ramada kikiomba dua.
Kikosi cha Banc ABC
Kikosi cha Uhai FC
Kikosi cha AAR
Mtanange ukiendelea.
Hapa mchezaji wa Banc ABC, Nicholaus Mwakijega akiwatoka wachezaji wa Ramada. Kushoto Omari Juma na kulia ni Abdul.
Ramada wakitoka uwanjani kifua mbele baada ya kuwashinda Banc ABC bao 1-0
Hapa kiatu kiatu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)