All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
Izzo Bizness Apagawisha wakazi wa Mbeya kwenye Tamasha la Pasaka
Msanii Emmanuel Simwinga maarufu “ Izzo Bizness “ akitumbuiza kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.
Izzo Bizness akishow love kwa mashabiki zake tamasha la pasaka la home Sweet Home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.
Mamia ya mashabiki wakifurahia burudani toka kwa Izzo Bizness
Yani ilikuwa shangwe wakati Izzo Bizness akitumbuiza jukwaani kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)