Pages

Huu ndio ukumbi ambao Tunzo za African Magic Viewers Choice Awards 2016 zinapotolewa huko Nigeria

Hapa ni set up za ukumbi wakati ukiandaliwa kwaajili ya utoaji wa tunzo za filamu za African Magic Viewers Choice Awards 2016 zinazofanyika muda huu huko jijini Lagos Nchini Nigeria..Katika mashindano hayo filamu za Tanzania zilizofanikiwa kuingia ni Mpango Mbaya iliyoandaliwa na Stanford Kihole kutoka Proin Promotions, Mapenzi ya Mungu ya Elizabeth Michael aka Lulu iliyopo Proin Promotions, Kitendawili ya Rich Rich iliyotoka Proin Promotions na Dady's Wedding iliyotoka Proin Promotions filamu hizo zote zipo katika Kipengele cha Best East Africa Film huku Kitendawili ikiwa katika kipengele kingine cha Best Indigeneous Language Swahili

Tunawatakia kila la Heri na tunaamini mtarudi na Ushindi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)