Pages

Basi la Super Sami lapiga mweleka Wilaya ya Igunga

Ajali imetokea Wilayani Igunga ikihusisha basi la Super Sami lililokulikitokea Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam. Chanzo cha ajali hiyo ni Dereva alipokuwa akitaka kukwepa Ng'ombe na  gari likamshinda na kuanguka na kusabaisha ajali hiyo.

Watu wakielekea kwenye gari lililopata ajali leo Wilayani Igunga.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)