Pages

BALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA WAZIRI MWAKYEMBE

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose alipomtembelea ofisini kwake leo (17/3/2016) jijini Dar Es Salaam kwa mazungumzo.
Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Dianna Melrose akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya sheria nchini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)