Pages

Wafanyakazi waliotumikia kiwanda cha Konyagi kwa muda mrefu wapongeza

 Wafanyakazi wa kiwanda cha Konyagi jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye sherehe ya kuwazawadia wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu.
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya TBL Group,Roberto Jarrin akimkabidhi mfanyakazi wa kiwanda cha Konyagi Tanzania  Moshi Matenga  cheti  cha utumishi wa muda mrefu miaka 25 , wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TDL maarufu kama Konyagi , Michael Benjamin akiongea na wafanyakazi wakati wa hafla ya kuwapongeza wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu   katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Saalam
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya TBL Group Roberto  Jarrin akimkabidhi mfanyakazi wa kiwanda cha Konyagi Tanzania  Tatu  Maganga   cheti  cha utumishi wa muda mrefu miaka 35 , wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa  Konyagi  Tanzania ,Michael Benjamin ( kushoto  ) na Mkurugenzi Mtendaji wa  TBL Group Roberto  Jarrin  (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na mfanyakazi wa konyagi Kudra Kinyaga    mara baada ya kumtuku cheti cha ufanyaji kazi wa muda mrefu wa miaka 25

Wafanyakazi wa kiwanda cha Konyagi wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa0 baada ya kutunukiwa vyeti vya kufanya kazi kwa muda mrefu wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika  jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)