Pages

Wafanyakazi TBL Group wafurahia mafunzo ya jinsia

 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Dawati la Jinsia wilaya ya Kinondoni, Inspekta Prisca Komba, akizungumza na wafanyakazi wa TBL Group Dar es Salaam wakati wa kufunga mafunzo ya jinsia na mahusiano sehemu za kazi jijini Dar es Salaam jana.

 Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakifuatilia mafunzo kuhusiana na jinsia katika semina iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. 
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi wa Dawati la Jinsia wilaya ya Kinondoni, Inspekta Prisca Komba, akizungumza na wafanyakazi wa TBL Group Dar es Salaam wakati wa kufunga mafunzo ya jinsia na mahusiano sehemu za kazi jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)