All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
VIJIJI 6 VYENYE ZAIDI YA WAKAZI 2000 VYAKOSA MAWASILIANO YA BARABARA NAMTUMBO.
Vijiji 6 vyenye zaidi ya Wakazi 2000 wilaya ya NAMTUMBO mkoani RUVUMA, Vimekosa mawasiliano ya barabara baada ya kuharibika kwa daraja la LIBANGU lililopo mto LWEGU, kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Story zaidi hii hapa RUVUMA TV
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)