Meneja
Usafirishaji wa kampuni ya kiwanda cha bia cha TBL Group cha Mbeya Bw. Norman Dhliwayo
akiwaongoza askari polisi kutoka kitengo cha usalama barabarani wanaohudhuria semina ya usalama
iliyotayarishwa na kampuni ya TBL Group na kufanyika katika kiwanda cha bia cha
Mbeya jana.
Maofisa
wa polisi wanaohudhuria semina ya
usalama iliyotayarishwa na kampuni ya TBL Group na kufanyika katika kiwanda cha
bia cha Mbeya wakitembelea kiwanda hicho
kuona shughuli mbalimbali za uzalishaji
unaozingatia usalama sehemu ya kazi
Meneja
Usafirishaji wa kampuni ya kiwanda cha bia cha TBL Group cha Mbeya Bw. Norman Dhliwayo akitoa
mada wakati wa semina kwa maofisa wa
ukaguzi wa magari kutoka Jeshi la Polisi nchini iliyofanyika kiwandani
hapo.Semina hizo zilizoandaliwa na TBL Group kuhusiana na masuala ya usalama
zinaendelea kutolewa katika mikoa mbalimbali.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)