Pages

NI TAMU KUSIKILIZA NA HAICHOSHI MASIKIONI. HII NI NGOMA MPYA KUTOKA KWA MSANII BITTO KITUKUU

Katika anga la Muziki wa Hip Hop nchini Tz, imedondoshwa ngoma mpya kutoka kwa Msanii Bitto Kitukuu. Ngoma inaitwa "Wapekee". Ni ngoma tamu na isiyochosha kusikiliza masikioni.

Mimi binafsi nimebaini kwamba, ukianza kuisikiliza ngoma hiyo, huwa unatamani uirudie mara kwa mara na uzuri wake ni pale inaponoga zaidi ikifika mwishoni na hivyo kutamani kuisikiliza tena.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUISIKILIZA.

Na George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)