Pages

GARI YA WIZI YAKAMATWA NACHINGWEA MKOANI LINDI


Gari aina ya NOAH Namba T378 BYH rangi nyeupe imekamatwa huko nachingwe mkoani  lindi. Baada ya uchunguzi polisi wamebaini kuwa rangi ya awali ya gari  hiyo ni TRIM na mmiliki wake halali ni ABDALA MOHAMED MCHONDA P.O.BOX  1370 DAR ES SALAAM. 



Namba original za gari ni T 223 CUX. Yeyote mwenye taarifa ya kupotea gari yenye maelezo hayo awasialiane na Polisi  Nachingwea kupitia RTO LINDI [0658 376074].Imeandaliwa na RSA na Dj Sek

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)